Mauji ya raia Mpeta,Kigoma: Zitto, RPC na mbunge Husna Mwilima waja na takwimu tofauti ya idadi ya vifo. Uchunguzi unahitajika...

soine

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,113
2,329
Mada yajieleza. Hata kama kuna kitu kinafunikwa ukweli utakuwa wazi siku moja. Tumechoka kutuhumiana na kubaki bila taarifa sahihi.

Kuna haja ya kuchunguza kwa umakini, hata iwepo ban still inawezekana kuchunguza na kujua nani mkweli.

Zitto: Raia 100 na Polisi 2

IGP: Raia 2 na Polisi 2

Mbunge wa eneo husika: Zaidi ya raia 17 na polisi 2.

Kuna haja ya kuingia kazini.
 
wakizidi zaidi ya raia 3, polisi wanafaa kuwajibika maana wanatoa taarifa za uongo.
 
Mada yajieleza. Hata kama kuna kitu kinafunikwa ukweli utakuwa wazi siku moja. Tumechoka kutuhumiana na kubaki bila taarifa sahihi.

Kuna haja ya kuchunguza kwa umakini, hata iwepo ban still inawezekana kuchunguza na kujua nani mkweli.

Zitto: Watu 100 na Polisi 2

IGP: Raia 2 na Polisi 2

Mbunge wa eneo husika: Zaidi ya watu 17 na polisi 2.

Kuna haja ya kuingia kazini.
Sikumbuki hata siku moja kama Jeshi la Polisi limewahi kutoa taarifa/takwimu za ukweli.
 
Polisi ipi?
Labda ya Uruguay
Kwa polisi wetu hawa !!, Ngija tusubiri swala la MO tuone kama kuna siku watakuja kuliongelea tena, maana nakumbuka tuliambiwa wanawasaka watekaji ndani na nje ya nchi, naamini hiyo picha ndio imeishia hapo.
 
Mada yajieleza. Hata kama kuna kitu kinafunikwa ukweli utakuwa wazi siku moja. Tumechoka kutuhumiana na kubaki bila taarifa sahihi.

Kuna haja ya kuchunguza kwa umakini, hata iwepo ban still inawezekana kuchunguza na kujua nani mkweli.

Zitto: Watu 100 na Polisi 2

IGP: Raia 2 na Polisi 2

Mbunge wa eneo husika: Zaidi ya watu 17 na polisi 2.

Kuna haja ya kuingia kazini.

Asante Mods kuja na title makini
 
Tena mbunge wa eneo husika ni wa CCM. Yeye wala hajaitwa wala kukamatwa
 
Yawezekana mauaji ni idadi kubwa. Ila watu 100 ni wengi Sana Jamani! Tuwe realistic.
 
Zaidi ya 17 inaweza kuwa hata hiyo 100 so huyo mbunge na Zito wako sahihi kimantiki.. Ila kwa polisi haina shaka ni wawili
 
Kama Zitto ni mkweli,basi ni hatari sana kuwa na wakuu wa chombo cha usalama wanaoficha ukweli kuhusu mauaji,na ndicho chombo kinachohifadhi silaha.
 
Back
Top Bottom