jaribu kufuatilia earth core ina vitu gan halafu angalia jua ina vitu gani, gravitation force ya dunia inatoka kwenye core, some elements zilizopo kwenye core ndizo zipo kwenye jua, ndo maana dunia inazunguka kwenye muhimili wake ambao nguvu za mvutano zinatoka kwenye core, kama vile...
mkielewa vyanzo vya vita za crusade na jihadi, labda mnaweza jifunza kitu. Naamini Mungu ni mwenye upendo wa kipekee lkn watu wanamfanya aonekane ni Muuaji na wakat huo wanasema anaua kwa malengo, rejea maandiko ya vitabu vyote, na watu wanajihalalishia kuua au kudhuru au kutumikisha au kubagua...
Leo ni siku ya pili toka wenzetu wa Kagera walipokumbwa na janga la tetemeko, lakini cha kushangaza taarifa ya habari ya saa 1 jioni pamoja na kuipa kipaumbele sherehe ya Iddi, sijamsikia hata mtu mmoja ktk taarifa hiyo amesema tuwaombee wenzetu wa Kagera. Je imeshindikana kabisa kupeleka hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.