Recent content by Kisesetusese

  1. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa

    Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa. Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imewahukumu aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamusta, Daniel Gidambisye Murayda, pamoja na Mhasibu wa shule hiyo, James Cosmas Bazil, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya matumizi mabaya ya...
  2. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  3. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Mhhh watu wengine kodi ya 120,000 kwa mwazi sawa na 120,000x12 =1,440,000 ilinishindaga
  4. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hull city ameanza kwa ujumbe motto kwa big teams, style yake ya defensive na counter attack inamuacha carrick mdomo wazi, asijie mwenzie anaweka kabuki wa5...ampigie simu ole gunner socsocial amwambie mbinu Namshangaa kwa sabab hata league ashawawekea barca viungo watano katikati akipambana...
  5. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Mimi hata sihangaiki kusoma ushuzi wake
  6. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kitambi, kiriba tumbo, na kiriba hewa

    Na kitambi change kila sehem naheshimiwa...si Kwenye tax naitwa zee nail huku, hotel's reservation ya mtu nepeta mim. Baki na wembamba wako utazikwa nao. Mwanamke awe mwembamba na kidume betina
  7. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Bora umempa makavu, utunzi mzuri, story inasisimua ila yeye atapunguza msisimko na wengine hamu imekata kabisa
  8. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingata wakati wa El Nino

    Rekebisha mods zingatia
  9. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingata wakati wa El Nino

    El Niño na maandalizi ya mvua kubwa Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja. Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji. Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika. Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula...
  10. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wakristo nunueni vitabu vya waislamu msome

    Wakristo wengi asilimia kubwa wanaroho abaya sana. Source. Mimi mwenyewe
  11. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Nimependa hili neno haki ni haki
  12. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Wana JF tujifunze kuvumiliana pale tunapopishana mawazo. Tupinge hoja kwa hoja, tuache matusi

    Hivi? Pascal kwa nini hutaki kazi serikalini?
  13. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Siku saba za raha: tuzogoe 😊 halafu tukutane kesho saa 12 jioni

    Maji maji ndio mpango
  14. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Mkuu acha tu. Kuna wakati watoto wakija nyumbani kwangu nawafukuza kuhofia kushutumiwa. Nimeona Bora nionekane mbaya kuliko kufedheheka, unakuta hata kwenye misiba unaona aibu kuhudhuria. Kuhusu suala langu, anaeamini aamini, mwenye mashaka akae nayo. Najua kwa uwezo la labana kuna Sababu ya...
  15. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Nimeshafanya mkuu asante, amenielewa na kwa kuwa sina tabia hizi za kishenzi, nilimhoji kuwa sina historia ya uzinzi na anajua hivyo. Na kwa kweli niwashaur wanaume wenzangu kukaa mbali na watoto wetu wa kike na WA majirani pia
Back
Top Bottom