Recent content by kiselu.

  1. K

    Jaji Ramadhani: Mniombee mapenzi ya Mungu yatimie

    Jaji katika ujaji wake atupe sehemu moja tu aliowahi kufanya maamuzi kwa maslahi ya wananchi
  2. K

    Ingawa tayari tunaye mgombea bora, UFISADI umetunyima uwezo wa kumhisi, kumuona wala kumsikia!

    Tindu lissu hawezi kuwa Rais wa nchi Japo ana akili kuliko wenzake chadema
  3. K

    Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

    Watake wasitake huyo ndo rais wao kuanzi october 2015
  4. K

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    Hii list mdee hawezi kuongoza watu maana ni mswahili,fisadi,hafai Lema bado utoto unamsumbua. Mnyika ubinafsi na kutokuwa na maamuzi binafsi. Ndesamburo uzee umezidi
  5. K

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Lowassa ni kiongozi MBUNIFU alibuni njia tatu dar, shule za kata na ualimu wa muda mfupi kutatua tatizo MCHAPA KAZI hakai ofisini anaenda kwa wananchi MAAMUZI anaweza kufanya maamuzi kwa wakati ANASIMAMIA UADILIFU aliwachukulia hatua viongozi wazembe MZALENDO kwa nchi yake
  6. K

    Lowassa kuongoza matembezi kupinga mauaji ya Alibino

    T 2015 enl haikwepeki. Watashindana lakini hawatashinda
  7. K

    Lowassa kuongoza matembezi kupinga mauaji ya Alibino

    HELLO TANZANIA Mimi ALBINO nina haki ya kuishi. Siku : Jumapili Tarehe :19/04/2015 Muda : Saa 2 Asubuhi Tukio : Matembezi ya hisani Mh Edward Lowassa atashiriki nasi Watanzania wote katika matembezi ya hisani kwa umbali wa km 5 kupinga mauaji dhidi ya ALBINO, Matembezi yataanzia katika...
  8. K

    Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Jambo ambalo halina ubishi ni kwamba zitto alikosa na ni dhahiri pia chadema hawakutaka kutumia busara katika kufikia muafaka sasa chadema jifunzeni kutumia busara na wapeni watu uhuru wa kuamua
  9. K

    Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    Msitanganyike Rais wa nchi hii hawezi kutoka upinzani.Upinzani bado hawana uwezo wa kuongoza nchi. Rais ajae ni mh Edward Ngoyai Lowassa T2015 ENL
  10. K

    Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    Rais ajae lazima atoke ccm, upinzani bado hawajajipanga kuweza kuongoza nchi.Rais ajae ni EDWARD NGOYAI LOWASSA
  11. K

    Juhudi kubwa shule za kata ni Lowassa na Mungai

    Lowassa hakik ni kiongozi makini
Back
Top Bottom