Recent content by kisana moja

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema mtarajiwa hapokei simu zangu, kwanini?

    Nipe namba yake nimuulize vzr
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

    Mwambie anitafutee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    Siku tatu tuu unalalamika.....pumbafuuuu
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana kuchelewa kutoa jibu la kuingia katika mahusiano, nini sababu?

    Habari wana MMU, Napenda kuona mawazo yenu juu ya hili. Wasichana kuchelewa kutoa jibu la kuingia katika mahusiano ni kutaka kulifanyia kazi ombi hilo kabla ya uamzi au wanatimiza matakwa ya tamaduni za Kiafrika? Karibuni katika mjadala huu
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mnaopenda kuvaa shanga kiunoni, someni hapa

    Prove...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Ndio nini hizoooo
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Sijaachwa jamaniiii
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    [emoji13] [emoji13] Ulimwenguni hapa ni vizuri kujifunza na tunajifunza kwa kiasi kikubwa kutokana na mawazo ya watu wengine kwaiyo sioni ubaya pia kujifunza juu ya suala hilo kutok kwa hao waadishi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kunioa anaeishi nje ya Afrika

    Wew uko wapi saivi
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Habarini marafiki, Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari. Asante
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

    [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  12. K

    JamiiForums Tanzania tafadhari nahitaji msaada

    Habari! ndugu zangu mimi nipo Dodoma nina tatizo moja nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nimekata tamaa kabisa, hivyo naomba mwenye maelezo anipe njia elekezi namna ya kupata tiba au nifanyeje angalau nipunguze maumivu haya .
  13. K

    JamiiForums Tanzania kina dada wa Udom 1st year endeleni kujiheshimu hivyo hivyo.

    mwisho wa mablock,nimekusoma
Back
Top Bottom