Recent content by kisalii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kufungua ofisi ya computer maintenance and repair

    Shukran mkuu, nilitaka nipate ufafanuz kutoka kwa watu wenye uzoefu na target ilkuwa pia kujua bei ya vifaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kufungua ofisi ya computer maintenance and repair

    Habari za muda huu wadau! Nawasalimu, kama kichwa cha habari kilivyoeleza nakaribia kumaliza chuo hivyo natamani nifungue ofisi ya kufanya maintenance na graphics. Kwenye comp maintenance natakiwa kuwa na vifaa gani kwa kuanzia? Na hivyo vifaa ni bei gani? Naombeni mnisaidie wadau najua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Arusha sio

    Mkuuu sing'isi kitaa chetu ni sehemu salama sana kwa sasa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Sema kwel lile eneo kuna umaskini kiasi fulan
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    Sema huo mtaa ni hatari sana aisee, kule nahisi 50% ya watu wanafanya mambo ya kihuni, m sio mwenyeji huko lkn kufika Mara ya kwanza moyo ulkuwa unadunda kila nikichek kwenye bar naona watu ambao kijijini kwetu hawapo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyafahamu kuhusu biashara ya ngono kwenye mitaa na guest house za Manzese

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kweli mkuuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshaivua rasmi vyeo UDOM

    Mkuu wewe ndio una wenge, kama website inagoma kufunguka badilisha browser au device unayotumia. Jiongeze
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu kumi bora ya makabila yanayoongoza kushirikiana katika shida na raha

    Mkuuu naamin huyajui makabila yote, usingeweza kutusahau sisi wameru kabisa, mure warwa shiwaren uko
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais anasema tuibomoe Dar yote tuijenge Upya. Namuunga mkono kabisa. Picha ya Sinza sijaisahau

    Mkuuu unatukana five star yetu pekee hapa jijini dom [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais anasema tuibomoe Dar yote tuijenge Upya. Namuunga mkono kabisa. Picha ya Sinza sijaisahau

    Daaaah aiseee I wish nitembelee huko duniani nipaone tuuu labda nitapata mawazo mapya, hapa hili jiji la Dodoma sijalielewa bado
Back
Top Bottom