Recent content by kisafuri

  1. K

    Huyu dada nimfanye nini wadau?

    Kwa vile meneja ni kaka yako na wewe ni mdogo mtu itakuwa vyema ukimfukuza ili umlete dada yako muwe wote wanandugu. Hata huko nje mnaweza kumfukuza na mlinzi pia mkamchukua baba yenu toka kijiini akaja kuwalinda. Ni maoni tu
  2. K

    Wanaokamata Pikipiki wametumwa na nani?

    Naombeni mnisaidie kujua hawa watu wanaokamata waendesha pikipiki kwenye maeneo kama pale Salenda bridge na kuwanyang'anya funguo zao ni akina nani? Mbona juzijuzi nilimsikia Kamanda Mpinga akisema hairuhusiwi kukamatwa na askari yoyote ambaye hajavaa sare? Mbona hawa wanaendelea kukamata...
  3. K

    Tanzia: Mchungaji Hezekiah Mwakisu wa Boko KKKT afariki

    Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu
  4. K

    Kushuka kwa bei ya mafuta kunamnufaishaje mwananchi wa kawaida?

    Bei ya mafuta ya petroli na diesel inmeshuka kwa takriban sh 500 au zaidi . Unafuu huu wa kushuka kwa bei unamnufaishaje Mtanzania wa kawaida ambaye hana gari linalotumia mafuta, analipa nauli ileile kwenye daladala, analipa bei juu ya umeme nk. Serikali haioni kwamba kushuka huku kwa bei...
  5. K

    Mwananyamala: Moto wateketeza nyumba zaidi ya 10

    Fire wamejulishwa? Yawezekana watu wamesimama wanapiga picha tu na kuzitupia kwenye whatsup zao
  6. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kiporo hakipashwi na moto mkali
  7. K

    Je! Ni halali polisi kuwanyima panyaroad dhamana na kukataza wazazi kuwaona?

    hawa vijana sio wakuonea huruma kabisa kwa maana wao hawana huruma hata kidogo..... Hao wanaowatetea wanawasukia tu kwenye vyombo vya habari hawajawahi kukutana nao.. Mimi sijakutana nao ila jamaa yangu alikutana nao mwaka jana kinondoni wakampiga mpaka akalazwa muhimbili na sasa hivi ameamua...
Back
Top Bottom