Naombeni mnisaidie kujua hawa watu wanaokamata waendesha pikipiki kwenye maeneo kama pale Salenda bridge na kuwanyang'anya funguo zao ni akina nani?
Mbona juzijuzi nilimsikia Kamanda Mpinga akisema hairuhusiwi kukamatwa na askari yoyote ambaye hajavaa sare?
Mbona hawa wanaendelea kukamata tena bila ustaarabu na kwa namna ya kukimbizana ambayo inaweza kusababisha hata ajali?
Hebu nifafanulieni wametumwa na nani?