Mwananyamala: Moto wateketeza nyumba zaidi ya 10

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
Kuna tukio ambalo limetokea muda mfupi uliopita ambapo takribani nyumba takribani 10 zinateketea kwa moto muda huu katika eneo la Mwananyamala A jirani na Shule ya Msingi Kisiwani jijini Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa kuwa moto huo umetokana na hitilafu ya umeme.

Mashuhuda wa tukio wanaeleza kuwa hadi sasa Kikosi cha Zima Moto hakijafika katika eneo la tukio.
Kutoka Mwananyamala Dar es Salaam. Nyumba takribani 14 zinateketea kwa moto katika eneo la Mwananyamala A jirani na Shule ya msingi Kisiwani jijini Dar es Salaam kutokana na hitilafu ya Umeme ambapo jitihada za kuuzima moto huo hadi sasa zinaendelea

Chanzo: ITV
 
Fire wamejulishwa? Yawezekana watu wamesimama wanapiga picha tu na kuzitupia kwenye whatsup zao
 
Kutoka Mwananyamala Dar es Salaam. Nyumba takribani 14 zinateketea kwa moto katika eneo la Mwananyamala A jirani na Shule ya msingi Kisiwani jijini Dar es Salaam kutokana na hitilafu ya Umeme ambapo jitihada za kuuzima moto huo hadi sasa zinaendelea

Chanzo: ITV
 
Fire ndio wamefikamidaa hii wamekimbia baada yakuanza kupigwa ,mawe SRC UMEME m nimetokahapo mdahuu anywaupdate kwa aliekuwepo naona zinaendelea kuungua zote zilizokuwa karibu na tukiohilo,,wenye kutoamsaada elekeeni huko urgent
 
Ahsante ITV na Radio One..

Mmekuwa zaidi ya Television Ya Taifa Kwa Breaking News za papo kwa papo.

Kupitia media hizi I hope ofisini kwa fire watakuwa Tv ofisini kwao.
 
TBC wako busy na ubongo fleva.....
 
Kutoka Mwananyamala Dar es Salaam. Nyumba takribani 14 zinateketea kwa moto katika eneo la Mwananyamala A jirani na Shule ya msingi Kisiwani jijini Dar es Salaam kutokana na hitilafu ya Umeme ambapo jitihada za kuuzima moto huo hadi sasa zinaendelea

Chanzo: ITV
Moderator weka hii kitu juu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuuinaumiza nimeonalive na awanamsaada mpakasasa sijui usikuzitakuwa ngapi rip houses
 
Pole kwa waliounguliwa nyumba zao, kama ndio hiyo hitilafu ya umeme na Tanesco huwa haijishughulishi kabisa na malipo.
 
asubuhi club olympia sinza nayo imeteketea chanzo hitilafu ya umeme?Asije kua Muhongo huyu ana revange!
 
Tatizo hii nchi zima moto ziko sehemu mbili tu Airport na Fire kariakoo.
Ukitoa zile za private ambazo ni bei kubwa.
Inabidi serikali kupitia halimashauri za Dar es salaam ijenge miundombinu ya haya magari ikiwa ni pamoja na mabomba ya maji mitaani ili ikitokea hitirafu sio lazima likafate maji mbali.
Pia hata pale ikulu moto ukiwaka ni kwamba itateketea kwani zimamoto ziko mbali sana.
Inabidi Posta wawekewe kitengo chao binafsi cha zimamoto kwani kule kuna ofisi nyingi sana japo hizo ofisi zina fire system yao wenyewe bado haziwezi zima moto wote ikitokea kuna hitirafu.
Kariakoo wawekewe kitengo chao pia kwani yale maduka ikitokea moto ni kwamba unateketeza kila kitu na zima moto hawatafika mapema au watafika ila bila maji au maji hayatoshi.
Masaki, Oysterbay,Mikocheni, Msasani wapewe kitengo maalumu cha zimamoto.
Mwenge, Mlimani, na maeneo ya kati wapewe na wao kitengo chao.
Kuanzia Ubungo hadi Mbezi mwisho nao wapewe kitengo chao cha zimamoto.
Mbagala na maeneo ya temeke wapewe kitengo chao cha zimamoto.
Kigamboni nao wapewe kitengo chao
Kuanzia mbezi beach hadi bunju nao wapewe kitengo hii itasaidia sana kuepusha uharibifu wa mali pale moto unapotokea.
Na pia serikali ipitishe sheria ya kuweka fire ans smoke detectors kwa majumba ya biahsara na makazi hii itasaidia sana kujua wapi ni wapi na zimamoto zipi ziwe dispatched..

Ni maoni yangu
 
Mkuuinaumiza nimeonalive na awanamsaada mpakasasa sijui usikuzitakuwa ngapi rip houses

polenisanakwatukiohi lihiv ihakunakijimtohapojiraniwatuwajipangekuchua";majinakuokoanyumbazilizoba kia.?
 
Mkuu wangu maoni yako hana maana sana ila nchi inaongozwa na mazuzu.
 
polenisanakwatukiohi lihiv ihakunakijimtohapojiraniwatuwajipangekuchua";majinakuokoanyumbazilizoba kia.?

Hahahaha jamani japo inasikitisha lakini uandisgi wenu na Pdidy umetia fora. Najua umeamua kumjibu hivi makusudi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom