Recent content by kisa_kya_ntwa

  1. K

    Swali kwa wanawake na wanaume wazoefu

    Asante mkuu kwa maoni yako/swali lako. Je umewahi fikiria kwamba wanawake wengi wanatengeneza bikira? na kwamba wanawake wengi wanawdanganya waume wao kwamba hawajakutana na wanaume kumbe danganya toto? na kwamba wanaume ni waaminifu zaidi kusema ukweli wa historia ya mapenzi yake kuliko...
  2. K

    Massage Saloon (Massage Parlour)

    mbona sielewi mnachochangia hapa
  3. K

    Inawezekana hata TZ

    Hi vita ya mafisadi nini hasa mwisho wake, wana JF mniambie. Ninavyoona mimi; Kila mtu akusudie jema kwa taifa letu, tubadilike kuanzia mtazamo wetu wa utajiri wa harakaharaka na tutafika. Wana-JF tuwe mfano bora kupinga kila namna ya uovu katika taifa letu. Nawasihi wenye uwezo wa kugombea...
  4. K

    Fujo la udini Nigeria

    It is becoming a world trend now and many people think that killing a "sinner" will add value to their "future paradise life". Je wabongo mnaondekeza mambo ya fitina ya dini mnaona hilo, kawaida hakuna anaefaidi. or mara wakristo wamefanya hili, oh mara waislam wamefanya hili. Asiyejua kufa...
Back
Top Bottom