1. Watanzania wachache wanaoweza kuyaelewa haya mambo lakini ndiyo tumeambiwa ukweli, tuukubali, tusiukubali, tuupende au tusiupende, ndiyo tumeambiwa ukweli.
2. Kwa kuambiwa huo ukweli ni wakati umewadia, Tanzania lazima ijifunze kuwa nchi zote hutafuta maslahi mapana ya kiuchumi katika...