Habari wana JamiiForums Karibuni tujadili mawazo ya biashara ambayo yaweze kukutanisha na watu ambao wanauzoefu na hiyo biashara kujadili kwa kina kama kupata uzoefu karibu tujadili
Habari Wana JamiiForums Kunaswala Naoana Kwasiku Hizi limekuwa Tatizo Kubwa Hususan Wana Ndoa Kwa Upande Wetu Wanaume baadhi yetu unywaji wa pombe ndiyo sababu yakuleta migogoro ndani ya ndoa nakusababisha mipasuko na kutotoelewana nakusababisha kubadilika kwa wenza wetu kutokana na tabia zetu...
Habari Wana JamiiForums
Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano
• Kipato
• Chumba uwe umepanga
• Shughuli yoyote itakayokuweka ubize
Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
Imebidi leo nifikirie kwa undani sana hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari mbali mbali hapa nchini kwa kupamba baadhi ya matangazo yakisema ligi namba 6 kwa ubora tanzania kiukweli nijambo jema kwa watanzania jambo moja muhimu ni je kitugani wanaangalia mpaka kuupa hadhi mpira...
Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia.
Je, taratibu gani zitafata kisheria?
Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo cha maisha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.