Recent content by kiruavunjo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    waromboo hoi hoi hoiiii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    labda akatafute ubunge Kigoma huku Rombo hana mchango wowote Ben saa nane ni msaliti tokea enzi za akina zitto Rombo hatuwezi chagua debe tupu kama ben
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa awapiga stop wanaoenda nyumbani kwake kumtaka atangaze nia ya kugombea nafasi ya urais

    Huyu lowassaa nimnafiki Wabunge wenzake wako bungeni wanatanga sheria yeye huko home akisubiri makundi mpuuxi Kweli kweli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Lowassa ina hofu kuu na Magufuli, Sababu hizi hapa

    Ccm hata wangeniteua mimi kuwa mgombea wao nisinge jipigia kura wala kuipigia kura Ccm msimamo wangu uko wazi kura yangu ni ya wazi kuanzia rais hadi uenyekiti wa kitongoji nawapa ukawa mchana peupe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika wa kufanyia marekebisho makubaliano ya UKAWA

    mimi Niko na maoni na ushauri tofauti kidogo kwamba badala ya kuachiana hivi hivi ni bora uundwe utaratibu wa kura za maoni yaani vyama vyote vifanye uteuzi wa awali ndani ya vyama vyao alafu watakao patikana wafanyiwe kura ya maoni ndani ya ukawa kisha apatikane mmoja atakae peperusha bendera...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    ccm ni mapumbafu machizi na making a wala unga bangi wapuuzi, kila kukicha wanateua tume kamati za uchunguzi lakini zinapotoa majibu wanazidharau. tume ya kisanga ilikuwa na asilimia 100% ya wajumbe toka ccm matokeo yake yako kapuni hadi leo. Tume ya Francis Nyalali ilikuwa na asilimia 100%...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba nijulishwe sehemu ya kulala wageni Dar es Salaam kwa bei rahisi

    kuna nyumba Nzuri tu Kinondoni mkwajuni na magomeni kagera bei 7000 vyoo vizuri sana ila sio self usalama wa kutosha upo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM mwisho venus, duniani kila mtu UKAWA

    unaota kabisaa ndoto za mchana, sisi wadandanyika kama sio wadandianyika tunapenda kuongea sana na sio watendaji, Nataka kujua kusikia toka kwa je umeshajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura? ili uweze kushiriki kupiga kura ifikapo December 14? kama ndio nakuruhusu kuendelea kuwahamasisha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Katika Hili CCM Mtaanzia Wapi tena Kuinyooshea CHADEMA Vidole?

    ziziii ziiii simmeona? mziki wa chadema ccm wataweza wapi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete chukua hatua za haraka, yanayoendelea kiteto yasitokee rombo

    katiba ndo inasababisha yote haya. ni vyema wakuu wawilaya wakawa watumishi na sio makada wa chama twawala hii italeta utumishi uliotukuka.
  11. K

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Dr Slaaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV; Mfano wa Kuigwa kwa Waandishi wa Tanzania

    nimetokwa machozi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV; Mfano wa Kuigwa kwa Waandishi wa Tanzania

    pongezi Kwa Sam mahela
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

    mjinga huyo
  15. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    umepatia mkuu. siongezi neno
Back
Top Bottom