Kikwete chukua hatua za haraka, yanayoendelea kiteto yasitokee rombo

kijiichake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
284
Reaction score
58
Katika hali inayoibua hisia za uchonganishi, Mkuu wa wilaya ya Rombo Bwana Elius Palangyo, amewaagiza viongozi na makada wa ccm kuzishusha bendera zote za Chadema zilizoko juu ya miti kila eneo la wilaya ya Rombo, alipo hojiwa kwa nini ametoa agizo hilo akajibu bendera zinatakiwa zitundikwe katika ofisi za Chadema tu na kwenye miti, alipoulizwa mbona za ccm haagizwi zishushwe kwenye miti hiyo akajibu ccm ni chama tawala, ameagiza makada wa ccm waivuruge vikutano yote ya Chadema itakayo fanywa wilayani Rombo, wamekatwa makada wawili waliokuwa wanashusha na kuzichana bendera za Chadema wilayani Rombo hasa maeneo ya holili na mamsera ambapo walifikishwa kwenye vyombo vya usalama ili wafunguliwe kesi, lakini cha ajabu makada hawa walitishia polis I wakitaka wawachilie Mara Moja la sivyo kazi yao itaisha siku hiyo hiyo tukiwa Hapo walimpigia mkuu wa wilaya Simu nae akampigia mkuu wa kituo cha polisi holili kumuamru awaachilie makada hao Mara moja kwa dhamana na akamwahidi kesho yake atafika holili kituoni hapo, alipofika hiyo jana mkuu huyo wawilaya aliwakuta makada wa Chadema wakiwa wamefurika kituoni Hapo wakitaka watuhumiwa wapelekwe mahakamani, mkuu huyo wawilaya alipigapiga kifua akasema mimi ndiye Mwenyekiti Wa usalama wilayani hapa polisi wote mahakama zote ziko chini yangu hakuna kesi hapa ondokeni mwende zenu nawashauri makada wenzangu wa ccm wafungulieni kesi hawa Chadema kwa kosa la kutundika bendera juu ya miti na kuwapotezea muda wenu wakuzishusha kuzichana na kuwaleta kwenye vituo vya polisi, na nyie polisi jueni mwajiri wenu ni ccm na sio Chadema hivyo acheni kufanya kazi za Chadema. Matamshi hayo ya mkuu wa wilaya ya rombo yameibua asira za raia ambao ni wanachama wa Chadema na wasio na vyama ambao wameapa kupambana na makada hao wa ccm iwapo watawakuta wamepanda kwenye miti yao kuzishusha bendera hizo, kitu kitakacho pelekea umwagikaji wa damu, kutokana na uchochezi unaofanywa na Elius Palangyo mkuu na kada wa ccm wilaya ya rombo, tayari makada wa Chadema nao wameanza kulipiza kisasi kwa kuya bomoa mashina ya ccm, kikwete usipochukua hatua kutuondolea mkuu huyu wa wilaya utajionea mwenyewe. Tusisubiri damu zimwagike ndo tuchukue hatua miaka yote rombo tumeishi kwa upendo umoja mshikamano bila kuingiliana kivyama ccm tumekuwa nao Chadema tumekuwa nao ila Sasa naona amani inatishiwa.
Mwananchi mpenda utulivu amani na upendo shindaneni kwa sera name sio kwa ***** *****.
 
katiba ndo inasababisha yote haya. ni vyema wakuu wawilaya wakawa watumishi na sio makada wa chama twawala hii italeta utumishi uliotukuka.
 
Huo ni wendawazimu uliopitiliza nadhani hapo rombo kila mtawala ni kama Mungu mtu kujiona kama vile hayupo mwingine anayeweza kukaimu wadhifa huo hadi astaafu
 
Kama ni kweli huyu anaugua mpelekeni hapo HURUMA akatibiwe haraka kabla ajaanza kupiga watu
 
Back
Top Bottom