Recent content by kirongo 1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

    Kumbe mnamiliki makampuni ya mfukoni? The bold, maake certificate mnawekaje nyumbani kama mna maofisi ya makampuni yenu
  2. K

    JamiiForums Tanzania CRDB PLC Inakuaje?

    Au barua za maombi ya kazi unatakiwa kupeleka wapi? Sababu wenzao wana ajiri kupitia kanda, wao je?
  3. K

    JamiiForums Tanzania CRDB PLC Inakuaje?

    Heshima mbele wadau, Naomba kujuzwa hii benki ya CRDB Plc wanachukua watumishi kuanzia GPA ya ngapi. Toka nimalize chuo napeleka CV tuu kila siku. Wana CV zangu zaidi ya kumi. Lakini kila uchao wanaajiri vijana wenzangu, lakini hata kwenye interview sijawahi bahatika kuitwa. Ningependa kujua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuposa kwa kabila la wachagga wa marangu

    Heshima mbele wakuu, Mimi binti nina rafiki yangu wa kiume anataka kuja nyumbani kujitambulisha na kutoa posa na mengine yafuate, naomba kujua kujua taratibu zinaendaje, ikizingatiwa mimi nimelelewa na kina kaka, na Mzee alishafariki kitambo kidogo. Natumaini ntapewa ushauri mzuri kupitia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Unapohisi umechoshwa na ndoa yako

    Mwandiko wako unaumiza macho badilisha rangi mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unalijuwa Tunda hili, linalimwa na kabila gani?

    kadakokigondile fakhina jina lake lenyeywe tusi,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Laiti waajiri wangejua watumishi wao wameomba ruhusa kuja huku wengi wangefungashiwa virago jana, Hii inaonyesha namna gani jana kulikuwa na ruhusa nyingi maofisini. Na huduma kudorora baadhi ya idara na maofisis.
  8. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ commandos doing their things

    Nidhamu ya Jeshi imeanza kushuka hizi video zinavujaje jamani, adui awezi kuzitumia kweli?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza ndoa tatu kisa mtoto , njoo umchukue, ntakuja kumtembelea kwako

    Nachene veve whi mdesi khaa!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji waongeza majina 58 wakaguzi wasaidizi,kulikoni?

    Kiongozi umri wangu unakimbia fasta askwambie mtu, tunatakiwa kuanza familia tunasita coz hakuna uhakika wa sustain kila siku. Ni kazi ndg yangu ila sijakata tamaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji waongeza majina 58 wakaguzi wasaidizi,kulikoni?

    Kama ni laana ya kazi wengine tunayo, ya kwanza ssimo, na hii pia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Huko CCM kuna mambo kwa kweli

    Hata mimi hii picha imenivutia kwa kweli!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa leo asubuhi ( ikulu kutamu jamani)

    Hilo ni jibu sahihi, si hawa vibaraka wetu bhana mpaka wanaboa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakushi pia tumo bana

    Wanacho niboa ni hiyo mibanghe yao tuu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tra- interna investigation officers

    Hata mwezi haujaisha ndugu yangu
Back
Top Bottom