Huko CCM kuna mambo kwa kweli

Huko CCM kuna mambo kwa kweli

Ritz, Hawa wanacheza Muziki, inaonekana wazi kabisa. lakini hiyo ya kupapasana vitambi na mapaja ni hatari zaidi

Acha ushamba mziki upo wapi hapo! Hapo ni hawa makamanda wetu wa kuchora walikwenda kumpokea Mbowe Dulles airport; mambo ya mitego hayo!
 
Tuache uzandiki, mwenyekiti wa bunge muhesimiwa J.mhagama anasoma kitambulisho.
 
Kamanda tunafanya kazi halali; maisha ni kujishughulisha wewe kama huna shughuli sema usaidiwe mapori yapo mengi kilimo kinalipa! tukutumie kwa njia ipi!

mkuu kama mnafanya kazi halali na haya madawa yanaingizwa na nani?
 
Magamba yanakoboana...ndo maana hata matoto yao yanawaza umal*** tu...refer Mwamvi** Mauzi
 
Ushirikiano kitu muhimu wakuu!View attachment 109277

Mambo haya enzi zile za "CCM" ya kweli hayakuwepo asilani!


snura_akikata_mauno.jpg
 
Chondechonde Baba huo mkono....hapo ulipofika panatosha
vinginevyo... Nascent...Fanya kazi ya mkono wa kushoto!!

attachment.php
 
Shomari Nafikiri huyo wa kushoto si Mbunge bali ni kiongozi wa chama Taifa...anatokea kanda ya ziwa hivi. Ni alhaj....
 
Huo mjadala ni wa kungonoka tu siyo kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom