Nimependa hiyo mkuu ukijidai kujitia presha unakufa unamuacha na mafisi wanaendelea kula,ikiwezekana hata hizo hela anazohongwa akikupa unaenda kutafunia maku zingine maisha yanasonga .
Duh pole sana mwambie huwezi hiyo tabia abadilike kama hawezi nakushauri achana na hiyo kazi mwili wako ni wathamani zaidi na akipata mwingine mzuri zaidi yako we utafukuzwa yeye apewe hiyo nafasi yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.