Wasikudanganye bwana. Pesa ya kusoma masters haitoshi kufanya mradi wowote wa maana utaishia kufilisika tu. Wala kilimo cha kisayansi haitoshi. Kwa kuwa umesoma procurement ningekushauri uchepukie kwenye uhasibu uchukue CPA na MBA halafu uingie sokoni utaona mafanikio yake. Usikatee tamaa bwana...
Wakuu sasa mimi suelewi Hapa Kazi tu kwenye usalama wa raia haiapply? Au usalama wa raia na mali zao si jukumu la serikali? Nilimshangaa mkuu mpya wa polisi kanda maalum ya Dar eti akishutumu wananchi kwa kulala ndani na watoto wao huku wakiacha mtaa mzima hauna ulinzi sasa hapo sielewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.