Nadhani ifike mahali wafanyakazi wa ma bank wasiruhusiwe kuingia na simu katika eneo lao la kazi, kuwe kuna mahali pa ukaguzi kabla kuingia bank kuhakikisha simu zote zina achwa mlangoni, na wawe wanauwezo wa kuchukua simu zao baada ya muda wa kazi, kuwa na utaratibu wa IT kutoa report za logs kwenye lila Acc ya teller , kuonyesha vitu alivyokuwa anafanya kwenye mtandao, kupiga marufuku matumizi ya barua pepe binafsi..hii itasaidia kwa kiwango kikubwa