Recent content by kirarenetwork

  1. K

    Zitto Kabwe mbunge wa kwanza kutumia iPad Bungeni

    Hivi makinda hajakiona kweli atakipiga marufuku!!!
  2. K

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Hivi kunanini pale dodoma si wapewe haki yao au sababu walileta fujo bungeni siku ile ya marekebisho ya katiba si unajua tena wale wenzetu wazeee wa posho walivyokua na kisasi warudisheni darasani watoto!!!
  3. K

    Jumuiya ya Waswahili Kariakoo wampa onyo Makinda na wenzake

    Ila hayo ni matusi hazarani ina maana watu wote wa kariakoo ndio wanafanya mambo ya hovyo hovyo mmmmmmm'''''''****yako makinda
  4. K

    Office Assistants wawili wanahitajika Morogoro

    Nimekupata mkuu nitalishughulikia hili haraka iwezekanavyo
  5. K

    msaaada guys

    Naomba phisical addresses za agents nataka kusubmitt cv yangu ndugu watanzania nimetuma saaaana cv posta mpaka nimechoka na kazi cjapata ineed hepl wanajamii
Back
Top Bottom