Office Assistants wawili wanahitajika Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Office Assistants wawili wanahitajika Morogoro

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ramos, Jun 7, 2011.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya Maunga Tours ya mjini Moshi imefungua ofisi mjini Morogoro. Inapenda kutangaza kuwa inatafuta wasaidizi wawili watakaokuwa katika ofisi hiyo mpya

  Sifa
  Kidato cha nne na kuendelea
  Ujuzi wa Kutumia computer (Ms Word, Internet browsing),
  Umri usiozidi miaka 35

  Majukumu
  Kupokea watalii na orders za watalii watakaokuwa wanafanya ziara za Mbuga za Mikumi na Ruaha, na milima ya Uluguru
  Kuratibu accomodations kwa watalii watakaohitaji
  Kuratibu taratibu zote za safari (usafiri, chakula na afya) ya wateja
  Shughuli nyingine atakazopangiwa na makao makuu Moshi, zinazihusiana moja kwa moja na shughuli za kampuni

  Ilani
  Atakayeajiriwa awe tayari kusafiri mara kwa mara kuwapokea na kuwatembeza watalii

  Mkataba na Malipo
  Kampuni itaingia mkataba wa miaka mwaka mmoja na mwajiriwa, na unaweza kuendelezwa kutokana na matakwa ya mwajiri na mwajiriwa. Maelezo zaidi yatapatikana kwenye fomu za mikataba, wakati wa interview

  Malipo ya kuanzia ni Tsh 215,000/=


  Kuomba
  Atakayetaka kuomba awasilishe barua ya maombi kwa njia ya internet akiambatanisha na CV na nakala ya vyeti vya shule kupitia anuani; ramosaaron55@yahoo.com

  Mwisho wa kupokea maombi tarehe 20/06/2011.

  Ukipata tangazo hili mjulishe anayehitaji

  NB; Tangazo hili litatolewa/limetolewa pia kwenye baadhi ya magazeti ya hivi karibuni
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru kwa taarifa mkuu
   
 3. M

  Mr. Masasi Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu mi ndo namaliza chuo udom mwaka huu tarehe 1 mwezi wa saba. Je naweza apply mana cjui hata interview yenu itakuwa lini. Nifahamishe. Thank
   
 4. a

  aggybenny Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thank you for this information and may you be blessed indeed.
   
 5. k

  kirarenetwork Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu nitalishughulikia hili haraka iwezekanavyo
   
 6. k

  king b New Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks indeed men be blecd
   
 7. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Thank you. Keep up brother.
   
Loading...