msaaada guys | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaaada guys

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kirarenetwork, Jun 10, 2011.

 1. k

  kirarenetwork Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba phisical addresses za agents nataka kusubmitt cv yangu ndugu watanzania nimetuma saaaana cv posta mpaka nimechoka na kazi cjapata ineed hepl wanajamii
   
 2. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  naomba nitoe dukuduku kidogo, unaonekana hauko makini na mambo yako sijui ndio haraka au vp, kimantiki ulitakiwa ueleze angalau kidogo unachotaka kusaidiwa maana hapo hueleweki pia umekosea vitu basics kama spelling, ikiwa kama cv pia uandishi ni huu basi nunua rim na printer coz utatuma sana bila kuitwa...nafanya assumption kuwa unataka address ya recruitment agent..ingia radarrecruitment.com ni mojawapo, maelezo utayapata huko...physical addres sio muhimu sana upload cv online, ila nasikia wapo barclays house sina hakika na hili..
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ni kwel hujakosea mkuu,wako barclay house opposite movenpick,nami nilituma cv yangu,wakaniita for general interview
   
Loading...