Recent content by Kiraka

  1. Kiraka

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchange: Waliosababisha watu kufa Oktoba 29 ni Mange na Maria Sarungi

    Huyu jamaa hata kwa kumwangalia tu unagundua ana tatizo...
  2. Kiraka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Muslims wanaingiaje hapa wewe Kijakazi ?
  3. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Basi wazazi wako wako sahihi kabisa na kukuambia ujichanganye. Maisha hayako hivyo, kijana mdogo unaishi kizee mpaka una athirika na nyeto, ona sasa hata erection imegoma. Hebu jichanganye mtaa uone watoto wazuri kama hukupona ugoi goi huo.
  4. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi

    Ukiwa mgumu wanapitia kwa mke, mtoto wako. Sasa ukionekana wewe kichwa ngumu sana, bora uwapishe tu. Na ukisha ingia kwenye huo mtego huwezi toka maana umesha chafuka. Sasa unaelekezwa kwa remote.
  5. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna wa kumshauri Samia? Hii inasikitisha

    Nilisikiliza mama anaongea hivi aibu nikaona mimi. Yaani hili nalo linakuwaje katika ahadi za kampeni? ni kutuona makenge tu.
  6. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuendelea kunywa kinywaji nikitoka hata kidogo ntaagiza kingine, hili ni tatizo la kisaikolojia ?

    Anaonyesha kuwa ana hela na anajali sana usalama wake.
  7. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Ujinga na umasikini umetamalaki sana. sioni kabisa tukitoka hapa.
  8. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Wakiwa wengi watajaza kanisa ndio kinachotafutwa, baada ya hapo watashuhudia maigizo ya kufufuliwa na picha, video zitapigwa, wajinga wengine wataona na kuamini, kesho watajaa tena na hizo mia tano zitakuwa nyingi. Angalia picha kubwa kijana. Same thing kwenye huo mkutano, watajazwa hao raia...
  9. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Mapenzi gani kuwafuata wateja wako waje wakulipe? Kikubwa hapo ni hiyo biashara wanayokuletea. Ndio sawa na hao wanaobebwa na malori, ni kuja kuhalalisha kura.
  10. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Members wenzangu tumpe heshima sana huyu Britannica ni hazina kwa Taifa letu

    Amefanya nini kwani?
  11. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

    Jamani hivi serious kweli mnategemea hiyo tume iwe na maamuzi yapi tofauti na wanavyoelekezwa? Yaani kiini macho cha kujiita tume huru kimewadanganya? Msajili kaandikiwa barua kama ya ACT na mwanachama wa CCM, mmeona amechukua hatua yoyote? Acheni kuumiza vichwa fanyeni mambo mengine.
  12. Kiraka

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Hii kesi itaisha mara baada ya uchaguzi maana lengo litakuwa limetimia. Kama unapinga rudia hii post baada ya uchaguzi.
  13. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    Iko hivi, na ilisha semwa na JK Nyerere. Mwanasiasa dhaifu, akiona ameshindwa hoja huingiza udini au ukabila ili kupata support ya watu wa dini yake au kabila lake. Hii ndio imekuwa mbinu ya wanasiasa dhaifu miaka mingi.
  14. Kiraka

    JamiiForums Tanzania Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Mama anakuja kumsafisha Samia mbele ya macho ya kimataifa. Mara tu utaona maafikiano,na TL atatolewa lakini lengo la kumweka pembeni ya uchaguzi litakuwa limesha timia.
Back
Top Bottom