Recent content by KIPWELA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Hapana,kazi ni nzito kuzidi zamani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Mie nimepata robo mshahara,nchi ya ajabu kabisa hii
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenge University

    Hiki ni chuo au s/m?,nimeamin ni kama s/m coz kuna jamaa nimexoma nao a-level nilpata 1 pt 5 nilienda udsm(edu)wao walienda mwenge unvsty,nimetoka na gpa ya 3.8 mmoja wao kapga 4.6 .na kwa bahat nzur tumetupwa bush shule za kata jiran,wanafunz wameandamana had kwa mkuu wa shule wakidai jamaa...
  4. K

  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia raha sana baada ya kupigwa makofi na mme wangu.

    kumbe mnafurahia kuoteshwa minundu ngoja nianze kujinoa kwa kupga.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Yetu macho na masikio hyo inaonekana anapanga visa,uongo na ukweli haviwez kaa pamoja yataonekana tu,Mtu atoke na arud na wazo la kuua bila sabab?,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Mulugo huyo!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe!

    Habar wanajf?,kabla sijaanza kazi ya ualimu nilikuwa nikiona waalimu walivyo na maisha magumu na kunyanyasika sana na waajiri wao kuliko kada zote tz mfano madaktar,maakim,jesh n.k.Kumbe matatzo haya yote yanatokan na baadh ya waalim waliopandishwa vyeo kidogo na kuwekwa halmashauri ndo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habar wanajf,mim ni mwalm idara ya sekondar nimeajiriw mwaka huu(march)na nataka badilishana,na nataka kujua ili ubadilishane uwe umetimiza masharti gani???.NAOMBENI USHAURI WENU,
  10. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habar wana jf,mim ni mwalm wa secondary nipo wilay ya Moshi vijijn nataka enda Mbeya kat ya wilay hz rungwe,mbozi,mbey vjjn na kyela.#0752230738
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa NEC ya CCM akamatwa kwa ujangili

    ccm ni wezi kila sehem.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wadau wa elimu tusisahaulishwe ubaya wa matokeo ya kidato cha nne 2012

    sasa wasipofeli kunashule ngap za advance,i think serkal inahusika 100%,yaani mwanafnz asome miak minne asiambulie hata D mbil hat kiswhl?,
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    elimu imeingiwa na siasa,unategemea huyo mwanafnz asiyejua kusoma na kuandka apate dvission gan ka c zero.shule za kat ni mitambo ya kufyatulia zero.
  14. K

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    DUCE colege inayotoa walm wenye maadili mema,
  15. K

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    daruso-duce hawana msaada wowote zaid ya kuchez games kwny computer za chuo tu!
Back
Top Bottom