Recent content by kipugala

  1. K

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Lt col.mstaafu Ndugu Mzurikwao-Sumbawanga Kipugala
  2. K

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Kipugala Mwingine ni Wilson Elisha Nkhambaku
  3. K

    JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

    Ndugu zangu hiyo nighiriba Kikwete hana ubavu labda kama Waziri Mkuu angekuwa amejiuzulu vinginevyo anaogopa kukosa mgawo wake wa madini na IPTL. Kipugala
  4. K

    Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

    kipugala kama kweli kuna kikao basi hicho ndicho kipimo sahihi cha kujua nani ni mzalendo mwenye uchungu wa nchi yake na Watu wake huvyo mbivu na mbichi zitajulikana.Kwa wale ambao hwajaenda pale kuganga njaa nawaomba waendelee kuipigania nchi hii na watu wake kwa vile maisha hayako kwenye...
  5. K

    Tundu Lissu aunguruma....Waziri mkuu awajibike

    kipugala Namuunga mkono Mh.Lisu na Wabunge wote wenye mawazo na uchungu na nchi hii uvumilivu dhidi ya serikali isiyo na huruma na mapenzi ya dhati kwa watu wake umefikia mwisho;wanadharau bunge,wanadharau wapiga kura wao pia wanamdharau Mwenyezi MUNGU tuwatose labda watajifunza.
  6. K

    Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

    kipugala Walikuwa wanajidanganya kuwa ni kaskazini tu,watakapoamini watakuwa wamechelewa.Wa Tanzania sasa tumeamka si mliona na Wanamagamba wengine jana bungeni walivyocharuka kazi kwao,na kazi inaendelea hadi kieleweke.
  7. K

    Nimejivua Gamba Rasmi

    Nampongeza huyo Kijana kwa uamuzi wake wa busara mimi nawashauri wote wenye nia ya mabadiliko ya haki hakuna pa kwenda pengine zaidi ya CDM wakati ni huu. kipugala
Back
Top Bottom