Habari wandugu!
Nina mwenzangu ambaye ana ujauzito wa miez 4 sasa. lakin kwa bahati nzuri/mbaya siishi nae .Yeye yupo Iringa na Mimi nipo Mwanza. Hivyo basi ningependa kujua mbali na matumizi ya kawaida ya Mwanamke ni vitu gan hasa muhimu kwa Mama Mjamzito angalau kama ni hela nijue namtumia...
Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia kurudisha moto wa mapenzi na wanandoa kujiona wapya kila umri unavyozidi kuongezeka.
Matendo yanayoonesha wema kwa wanandoa ni gundi inayoshikisha wawili kujiona wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.