Recent content by kipoma

  1. kipoma

    JamiiForums Tanzania Safari imeanza Leo na UTT AMIS

    Wastani uwe umewekeza Mil. 10+
  2. kipoma

    JamiiForums Tanzania Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Hongera sana, pia napambana nifikishe hata mil. 20 tu
  3. kipoma

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

    Hujui kitu, profile yako inaonyesha wewe ni member
  4. kipoma

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Ukipenda mteremko huko mbele utakutana na mlima. Kuwa makini na shortcut.
  5. kipoma

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Njoo Iringa - Ismani umepata na ni KM 40 kutoka mjini iringa
  6. kipoma

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

    Tuiondoe CCM kwani imefanya nini kibaya mpaka tufikie huko? Tujenge nchi yetu tuache majungu
  7. kipoma

    JamiiForums Tanzania Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    Mjadala huu umetoa mwanga kwamba watu wengi hawana Elimu ya uwekezaji na hawajui kitu kinaitwa UTT(Mifuko ya uwekezaji wa pamoja) Sitaki kusema mambo mengi, wewe binafsi kama mwekezaji mtarajiwa tafuta Elimu juu ya haya masuala. Kwa urahisi ingia YOUTUBE kisha search kwa neno UTT zitakuja video...
  8. kipoma

    JamiiForums Tanzania Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    Hakuna wizi huku, trust Hesabu ndani ya siku 3 za kazi
  9. kipoma

    JamiiForums Tanzania Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    Hakuna wizi huku, trust
  10. kipoma

    JamiiForums Tanzania Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    Kuwa mvumilivu ndiyo kwanza umejiunga, hesabu zitaanza kwenda sawa. Hapo huwezi pata 1000 kwa siku itakuwa 833 hivi, Mimi nimeweka na hawa watu wapo vizuri kwenye kuongeza faida zako. Siku za wikendi hawafanyi kazi kwahiyo kama ijumaa haukuwekewa faida zako za siku hiyo basi watakuwekea faida...
  11. kipoma

    JamiiForums Tanzania Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

    Ni kweli kwa mitandao ya simu Kuna gharama kubwa, tumia bank hizo
  12. kipoma

    JamiiForums Tanzania Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

    Si kweli hawa jamaa wamenyooka sana, haiwezi fika huko. Kuna muda inapita hata hiyo 12%
  13. kipoma

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Ismani - Iringa

    Laki 4 per Ekar
  14. kipoma

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Ismani - Iringa

    Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
Back
Top Bottom