Safari imeanza Leo na UTT AMIS

Safari imeanza Leo na UTT AMIS

Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,

Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.

Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida.
Mkuu, habari. Ninataka kuchanga pesa kufikia mwakani mwezi 4, niwe na kama mls 60 kuna jambo nataka kufanya. nilienda crdb kufungua akaunti ambayo nilitaka iwe inapokea isitoe kwa kipindi hicho mpaka mwez wa 4 wakawa wamenishauri nifungue utt amis sasa nilikuwa nataka kujua ni ipi itanifaa zaidi kati ya options walizo nazo.
 
Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,

Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.

Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida.
Kaza but. Safari inaendeleaje?
 
Natamani kujifunza haya mambo kama Kuna thread imeeelezea naomba mnitag
Kuna thread ya
Habari wadau, niwape mrejesho baada ya safari yangu kuanza katika uwekezaji kupitia UTT AMIS, Sasa napata 3000 kila siku. Hakika hili ningelijua mapema ningefika mbali sana. Kwa sasa napambana nipate zaidi ya hiyo kwa siku.

Wengine njooni kwa kweli, nipo mfuko wa Ukwasi. Yaani kila siku naona ongezeke hilo kwa App yao.

Hujachelewa
Kwa hiyo 3000 kwa siku Ni sh ngapi umewekeza?
 
Back
Top Bottom