Waziri MPANGO Hapa kazi tu naona inakuja kivingine Hebu tupia macho kwenye riba zinazotolewa na mabenki yetu haya kama Postal Bank ,Twiga bank corp na wengine, nimejaribu kufuatilia riba inayotozwa ni kati ya 40%mpaka 50% ukikopa tshs 15,000,000/= kwa miaka mitano unalipa 29,000,000/= hapa kazi...