Recent content by Kipodo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nikipata mamlaka, nitamuajiri Sirro ili nimfukuze kazi awe na rekodi ya kufutwa kazi

    Wewe umetumwa nn. Kiongozi mzur was siasa ni yule anayefanya maslahi ya watu wote na so jimboni tuu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uzao wa nguruwe ni wa ajabu sana ! Pamoja na kuliwa sana duniani lakini hawapungui katu.

    Hawataweza kupungua na zaidi watazidi kuongezeka. Nguruwe kitaalamu wanna uwezo mkubwa wa kuzaa sana(highly prolific) Huzaa kutokana na idadi ya chuchu alizonazo. Hukua haraka sana(ndani ya miezi 5 tangu kuzaliwa anauwezo wa kuzaa. Asante Mungu kwa kutupatia kiumbe mtamu sana. Sent using Jamii...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kesho naanza safari yangu ya kwenda jijini Tanga

    Huyo agent balaa sana Hadi mashoga anakutafutia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Duh Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

    Hata avae ya chuma ataliwa tuu,toka lini mkate ukafurukuta mbele ya Chai hasa ya rangi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

    Lakini ulikata kiuno
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao waliwapa second chance wapenzi wao ambao waliwasaliti, kwanini ulimsamehe?

    Mapenzi huwa na kizunguzungu mno hasa unapomwacha mpenzi na kwenda kwa mwingine; then unapokimbilia unakuta bora ulipotoka.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Can you shares wives/girlfriends with your close friend?

    Aonavyo mtu ndivyo alivyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukiwahi ofisini alfajiri kuna mambo!

    Tatizo kichwa kidogo kikisimama,kikubwa hakifanyi kazi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtu Aliesomea Course Ya Community Health Anaweza Kujiendeleza Kwa Kozi Gan Yeyote Ya Afya???

    Unaweza kwenda kusoma Public health and Managment. Kazi zipo nyingi sana hasa kwa halmashauri kama vile waratibu za afya au katibu wa afya kwa hamlashauri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Kuku wakienyeji hata umpandishe gorofa ya kumi ataparua tuu ukuta
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Pole sana,never give up. Usiiuze hiyo nyumba.Anza na ufugaji wa wanyama ambao wanahitaji sana katika jamii mf kuku,pig n.k. Ukifanya hivyo within six months utakuwa upo mbali sana na hatimaye utaweza mudu maisha yako.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mambo nisiyoyapenda nikiwa faragha na mwanaume

    Aonavyo mtu ndivyo alivyo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kosa kupokea simu ya mpenzi wako wa zamani mbele ya mpenzi wako?

    Mzee baba hiyo ni hatar,(sawa na kutafuta bikira wodi ya wazazi)
  15. K

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

    Huyu mwanamke hana akili kabisa,asitake kutafuta umaarufu usio kuwa na msingi;kama alikuwa hapati tendo la ndoa kwa nn haku report for the time being? Kama aliweza vumilia hilo kwa nn asimvulie mshikaji wake ambaye kaishiwa hela?(au ndo kauli mbiu ya supper woman?)
Back
Top Bottom