watu wanajenga sana awamu hii kwa sababu wamechoka kupanga .. na hilo sio la samia wala awamu yaani ni tunajenga kwa sababu tumechoka kupanga full stop.. it's boring now samia samia kila kitu samia tuacheni basi na siasa zenu za kiwaki
Tuwe wakweli tu .. CHADEMA na wapinzani kwa ujumla kushika dola kwenye nchi hii ni ngumu sana na wenyewe wanajua Hilo. CCM itatawala nchi hii mpaka mwisho wa dunia....wao waendelee hivo hivo kumsusia fisi bucha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.