Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Nyambari Nyangwine ni chanzo cha kufubaa kwa elimu Tanzania. Naona watu wanasukumwa na hisia zaidi badala ya hoja. Binafsi sina ugomvi na Nyangwine ila kazi zake za kutaaluma ndizo zilizo hovyo sana. Tungekuwa katika nchi za watu makini vitabu hivyo...
Ninavyoelewa mimi hapa Tanzania hakuna Bachelor of Public Health. Ila kuna MPH. Undegraduate kuna related programs kama vile Environmental Health Science. I stand to be corrected
Tatizo si chuo ila ni mtu mwenyewe. I don,t see any problem with Mzumbe kwa kuwa kina wahadhiri wazuri na wenye sifa. Kwa kipindi cha miaka 14 tangu kupandishwa hadhi kuwa chuo kikuu mengi yamefanyika. Kimetambulika kimataifa zaidi, kimeanzisha ushirikiano na vyuo vingi duniani na programm...
Unaonekana huna nia ya kusoma kifaransa. Mara ni wasanii halafu unataka contact zao. Anyways u dont judge a book by its cover. If u ar in mza go there physically meet them, talk to them and see if really they are wasanii or not
Kiwanja kipo Block A Kisukulu kilometer 1 kutoka gereza la Segerea. Kimepimwa na kina offer. Kiwanja kipo barabarani na kuna umeme tayari. Kina ukubwa wa meter 25 x 50. Bei ni maelewano. Piga 0768248524 kwa mawasiliano zaidi.
UDSM hakuna course ya MSc Accounting & Finance. Hiyo kozi inatolewa Mzumbe University pekee. Kilichopo ni kwamba UDSM hawawezi kumdahili mtu mwenye Advanced Diploma katika programme ya Masters hadi mtu afanye Postgraduate Diploma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.