Umenikumbusha mbali ..
Hivo ndo vitabu bana
Umenikumbusha mbali ..
Hivo ndo vitabu bana
Umenikumbusha mbali ..
Hivo ndo vitabu bana
Enzi hizo vijana walikua serious na elimu, wanafunzi walikua wanasoma kweli na hawana vishawishi kama siku hizi ambapo unakuta wako busy na mambo ya kipuuzi na mitihani ikikaribia wanaanza kusoma kwa zimamoto kupitia vijarida vya Nyangwine.
Mtoa mada inawezekana unahaki kabisa ya kuandika hivyo kwa mtazamo na ujuzi ulionao juu ya vitabu hivyo ila bandiko lako halieleweki na inaonekana ni bifu lilipo kati yako na Nyangwine na si vinginevyo. Nakushauri uweke bandiko lenye sababu siyo conclution bila sababu.
Mimi binafsi nimevitumia sana vitabu hivyo, nilichogundua mle jamaa anatoa hints kumfanya mtu anaposoma vitabu vingine aweze kuelewa haraka.
Kwa kizazi chetu cha watu wavivu wa kusoma naweza sema havikidhi matakwa yote ya mwanafunzi na jamaa amepata soko kubwa kwa kuwa watoto wa siku hizi wanapenda mteremko na hawataki kuumiza kichwa.
Mwisho niseme tu kwamba si vizuri kurusha matusi humu jf pindi hoja yako inapokuwa imecrashiwa na watu jaribu kuangalia mapungufu yako then songa mbele.
Kwa wale wote wanaojiita walisoma zamani.
KUSOMA KWENU ZAMANI KUNAJIBU HOJA YA MTOA MADA?
jengeni hoja si porojo.
TAMBUENI KUWA VITABU VYA Nelkon,Lambart,Abort na Vingine vingi nimevitumia pia na nilipotoa mfano wa kemia nilikuwa naweka supporting point,kama unataka matokeo yangu yote wala hayasaidii kujenga hoja japo nilifaulu masomo yote 9.
PIA hivyo vitabu vya nje nimevitumia Advance PURE UNDERSTANDING MATHEMATICS,PURE ONE&TWO,NELKON,CHAND,nk.MSIFIKIRIE SIVIFAHAMU HIVYO VITABU ILA HAO MNAOJIITA WA ZAMANI HAMVIJUI VIZURI VITABU VYA NYANGWINE,nimetoa mfano wa kitabu cha maths cha wakamoga mbona hakuna aliyekuja kudhibitisha hakifai,NI UJINGA kuendelea kupinga kitu huku ukishindwa kuonyesha ubovu wake,UNATAKA TUAMINI BILA USHAHIDI,MATHS vya serikali fm1 to fm4 are the worst books HAKUNA ALIYEPINGA AMA KUONESHA VINAFAA just check 1topic logarithm.
Where is the easthetic of your old books in logical argument?
I can't substentiate your ability to argue from a tabularasa way of argument.
SPLENDID Nyangwine.
Yaap....Vitabu vya nyangwine vinatoa hints ambazo kimsingi ndizo zinampa mwanafunzi picha halisi ya anachopaswa kukifahamu.
Mkuu.
Unasoma Masomo Gani?
umeona hata waandishi wake aliotaja huyo aliepata two, wameshakwisha ona hata huo ufafanuzi wake hapo,
anajua competency na content, hawajui tulikuwatunazalisha ng'ombe shule agriculture, mbeya tech, mosh tech balaa
waache wabishe ni kweli ni kama umeingia choo chao[/QUOT jumlisha na haya
jumlisha na hayawakati wetu wa abot, nelcon nk ndio vitabu vidogo hivyo kulikuwa na vitabu vwa akina erwin vya uchumi na
kwenye uchambuzi wa vitabu ni balaa
utamkuta anajua kubishana tu kufungua facebook
Kizazi hiki Kimeshaahirisha, hakiwezi kikakuelewa:
wakati wetu watunzi wadogowadogo walikuwa namkumbuka mmoja wa usdm alifariki yule mzee
Siku hizi hata ukiongea nao unasumbuka bure mansa
Kwa wale wote wanaojiita walisoma zamani.
KUSOMA KWENU ZAMANI KUNAJIBU HOJA YA MTOA MADA?
jengeni hoja si porojo.
TAMBUENI KUWA VITABU VYA Nelkon,Lambart,Abort na Vingine vingi nimevitumia pia na nilipotoa mfano wa kemia nilikuwa naweka supporting point,kama unataka matokeo yangu yote wala hayasaidii kujenga hoja japo nilifaulu masomo yote 9.
PIA hivyo vitabu vya nje nimevitumia Advance PURE UNDERSTANDING MATHEMATICS,PURE ONE&TWO,NELKON,CHAND,nk.MSIFIKIRIE SIVIFAHAMU HIVYO VITABU ILA HAO MNAOJIITA WA ZAMANI HAMVIJUI VIZURI VITABU VYA NYANGWINE,nimetoa mfano wa kitabu cha maths cha wakamoga mbona hakuna aliyekuja kudhibitisha hakifai,NI UJINGA kuendelea kupinga kitu huku ukishindwa kuonyesha ubovu wake,UNATAKA TUAMINI BILA USHAHIDI,MATHS vya serikali fm1 to fm4 are the worst books HAKUNA ALIYEPINGA AMA KUONESHA VINAFAA just check 1topic logarithm.
Where is the easthetic of your old books in logical argument?
I can't substentiate your ability to argue from a tabularasa way of argument.
SPLENDID Nyangwine.
Mkuu, ukisema kuwa kitu fulani hakifai unajenga hoja kwa kuchambua vigezo fulani. Wahakiki wa maandishi wanaweza kufanya kazi hiyo kwa kuonyesha strengths, weaknesses na relevance ya kitabu kwa somo husika, wanaokusudiwa kukisoma, wakati na level inayokusudiwa.Kizazi hiki Kimeshaahirisha, hakiwezi kikakuelewa:
wakati wetu watunzi wadogowadogo walikuwa namkumbuka mmoja wa usdm alifariki yule mzee
Siku hizi hata ukiongea nao unasumbuka bure mansa