Recent content by kipili

  1. K

    majina ya shule na matokeo yake ,weka menngine

    P1556 dunga secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 23 fld = 104 s2361 mavanga secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 11 fld = 79 s0599 mnero secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 13 fld = 39 s1828 laini secondary school div-i = 0...
  2. K

    baba yangu alivyomtesa mama yangu

    utoto wa mama unamsumbuatu huyo akiwa na mke ndo atajua kuwa baba yake kwanini alikuwa akifanya vile. Ateleweshwa na mwanamke
  3. K

    Alama ya mapenzi

    darasa ? Darasa? Unaona swaliii? Na madarasa yako
  4. K

    Alama ya mapenzi

    tulizoea kuona alama inayoelezea penzi /mapenzi /upendo ikiwa imechomekwa mkuki hapo awali ila sasa alama hii haina mkuki unayoichoma kama zamani , je hali iliyokuwa sababisha mkuki ule uwepo pale imetoweka?kama hivyo basi hi wakati gani penzi lilikuwa chunngu zaidi ukilinganisha na sasa.
  5. K

    Usijaribu kununua LUKU kwa kutumia TIGO PESA

    pia kna haw a wanajiita maxmalipo ndo balaa hawa iicho ki pos chao kinaweza tuma jibu hata baada ya masaa 36 kifufi ni uozo mtupu
  6. K

    Plot, ekari 4 inauzwa

    Kipo mbutu , kigamboni,22km toka kivukoni .hati /t deed ipo,pana faa kwa matumizi ya petrol station,nyumba za kupangisha nk 160mil . 0786149592/0717765110
  7. K

    Mashamba/plot yanauzwa kigamboni

    186 ACRES,farm at kigamboni kimbiji (potea) ,45km toka kivukoni (kuna mikaratusi , minazi , michungwa na miembe ya kisasa liko kwenye barabara kimbiji kwenda tundwi bei 900mil. piga 0717765110. pia kuna ekari 6 hili bei ni 25mil KAMA UNAHITAJI KIWANJA ,ENEO LA KIGAMBONI , KISOTA...
  8. K

    Shamba/plot /nyumba vinauzwa kigamboni

    10acres land farm at kigamboni kijaka ,32 km toka ferry .bei 16m 0786149592. 50acres farm(kuna miti miembe na mikorosho )lipo kimbiji 42km toka kivukoni bei 100m . 0786149592. kiwanja 1600msq km 20 toka kivukoni kina hati zote .bei 35m. piga 0717765110 kiwanja 70*50 kina banda la udongo...
  9. K

    Haiingii akilini

    Ukweli wake upi hapo?
  10. K

    Mawasiliano tiGO yakatika; haki ya mtumiaji iko wapi?

    Hivi walibadilishaje jina toka lile tundu lakutolea haja kubwa -kinyesi- mavi-choo-uharo mpaka tigo
  11. K

    sasa telini

    una simu zao za mezani hivi sasa ukiweka vocha ok ,ukiactivate bundle ok. lakini ukicconect intenet.yaja sms ...check your modem configuration .je kuananini? huko sasatel
  12. K

    oil inatoka kwenye dip stick

    nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama imechomolewa).nini tatizo na suluhisho
  13. K

    Mwanamke wa kiha

    wewe mwanamke usiwe mwoga ,usiogope .hakuna siri mbaya watakazo sema, usiwe na munkari .haya mambo madogo madogo usijilinde, au hamtaki kuja kukaa na sisi. hatutukani tukani kama waha.
  14. K

    Mwanamke wa kiha

    kuna kaka yangu amepata mwanake kutoka kigoma yaani muha,anataka kumuowa je wanawake wa kiha wanatamaduni zipi na tabia zipi? tusaidieni wana JF
  15. K

    Kwani kila krismas lazima wachaga waende Moshi, je ni kweli kuwa......

    sale sale mauwa asiyejua kuchagua kabilake mzigua. haoooooooooooo!!!!!!!!!!!!!! na bado tutaji te nga , tuwna wapa tafu alafu mnaleta nyodo mnge kua mnajua kuiga yote hayo yangetoka wapi lakini mnabakia palepale.
Back
Top Bottom