Recent content by Kipepeo

  1. Kipepeo

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    Hatuwezi kujificha kwenye kivuli cha umaarufu wa LEMA kukwepa kujibu tuhuma hizi ni sawa na kuingusha chadema
  2. Kipepeo

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    Barua hii haina upuuzi mtupu kuna ishara za kashfa ndani yake zenye kuhitaji majibu
  3. Kipepeo

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    Naamini mambo mengine hawa jamaa wanaonewa kisa hawawezi kujitokeza na kujibu kulingana na asili ya kazi yao.
  4. Kipepeo

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    utakuwa ulikutana na matapeli wanaojifanya ni TISS. Hawa jamaa wapo wazuri sana na tusijumuishe ubaya kwa wote kama ilivyo kwa mchungaji au sheikh aliyekamatwa kwa uzinzi kisha tukasema hakuna sheikh wala Askofu mwema.
  5. Kipepeo

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    Huu ni udaku uliojaa blabla tu taarifa haina mfano hata mmoja imejaa tuhuma tu Hawa TISS hawako wazi kama Polisi mwandishi angetuweka wazi zaidi ili tujiridhishe
  6. Kipepeo

    Kikwete unawakumbatia wa nini? Mwema, Othman, Chagonja, Zoka?

    Tunajuaje labda wanasiasa wameshauriwa kiusalama lakini hawashauriki? kuwaondoa viongozi wa vyombo vya ulinzi katika mazingira haya haitatusaidia tutakuwa tunatibu matokeo badala ya chanzo. Ukitibu chanzo utakuwa umetibu mfumo lakini ukitibu matokeo utakuwa utoa kafara baadhi kwa kuwajibika kwa...
  7. Kipepeo

    Kikwete unawakumbatia wa nini? Mwema, Othman, Chagonja, Zoka?

    Mwanakijiji amerukia mbali badala ya kuutizama mfumo kiasi kwamba hata wakija wengine mambo ni yale yale.
  8. Kipepeo

    Kikwete unawakumbatia wa nini? Mwema, Othman, Chagonja, Zoka?

    Mfumo wa Usalama ukivurugukika wa kulaumiwa sio vyombo vya Usalama pekee, kuna mfumo wenyewe, kuna wana siasa, kuna wananchi wote wanapaswa kubeba dhamana hii. Hata Marekani ilipopigwa na Osama haina maana vyombo vyake ni dhaifu. Boko haram ya Nigeria haina maana Nigeria ni dhaifu kiusalama
  9. Kipepeo

    Kikwete unawakumbatia wa nini? Mwema, Othman, Chagonja, Zoka?

    tutajua vipi watakaokuja hawatakuwa wabaya zaidi???
  10. Kipepeo

    Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

    Anazungumzwa mtu kutukana kila mtu (CCM) kwa mada iliyo mbele yetu sio sawa ni kuipanua agenda kuu iliyo mbele yetu na kuififisha.
  11. Kipepeo

    Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

    Kimsingi madiwani wa Vijibweni (CCM), Kibada (CUF), Kigamboni (CCM), na Tungi (CCM) wanaotuhumiwa kwenda dodoma na waziri na baadhi wa wenyeviti wa serikali za mitaa hawako pamoja kukidhi kiu ya wakazi wa kigamboni. Diwani wa kata ya Somangila hakwenda nao dodoma ingawa kata yake iko kwenye...
  12. Kipepeo

    Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

    Wakati wa kampeni ilisemwa kwamba mtajuta 'kumchagua' kama kweli alichaguliwa kihalali, sasa wakati wa majuto umefika angalia kauli zake kuhusu hatima ya mradi huo. mbunge na wakazi wa kigamboni hawajakataa mradi. Tofauti zao ziko kwenye mchakato kuelekea mradi huo ili mradi usije kuwaacha...
  13. Kipepeo

    Diwani CCM Dotto Mtawa ashikiliwa na polisi kwa wizi wa gari

    Kigamboni nzima wanajua kuwa ni jambazi kama una rafiki anaishi huko uliza hilo halina utetezi. Wengi wanasema ni njia za panya zimemfikisha hapo alipo (udiwani) Ni darasa la saba ana fedha nyingi zinazodaiwa ni halamu.
  14. Kipepeo

    Matukio ya mauaji ya kisiasa ni serikali ya JK kushindwa kuongoza nchi?

    Mtu ukitumwa changanya na akili yako kidogo kuepusha sisi werevu kujua kwamba umetumwa
Back
Top Bottom