Afadhali hii kitu imewekwa wazi kama ni kweli ili rombo izidi kujulikana. Sema tu sio rombo nzima ni kile kisehemu cha mpakani kinaitwa kikelelwa ndo kimejawa na hizo tabia. Sasa dc yeye akasema rombo nzima sema com skills nayo ni shida wakati mwingine.
Wapi mmeona hiyo kitu. Nenda youtube chek speech ya obama majuz hapa ilivyonyoooka akihutubia congress utazani anakaa tena zaidi ya miaka mitano kumbe miwil au mitatu. Nyinyi mnapiga maktime tu na mabichwa yenu yamejaa udini. Pambafu.
Hii mijitu ya tanzania imelaaniwa na shetani ndo maana kila kitu wanataka kiende upande upande tu hawataki uhalali. Ndo maana moto unayachoma yale majizi yote yaliyokula hela za escrow na utazidi kuyachoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.