Pia inafaa kufanya mlinganisho kwa mabaraza yaliyopita kwa kuzingatia Muungano ie, Tanganyika na Zanzibar,Ujana na uzee ,Dini zetu kubwa,na mikoa pia tuone
Guys crypto is hyping now na trend ni meme coins na community coins sasa nakimbiza na Santa coin iliyoanzishwa juzi tu ambayo inafanana kwa kila kitu na evergow ambayo ndani ya mwezi mmoja imekusanya market cap ya 1.3B$ wanalipa reflections now kwa BUSD
Icheki SANTA coin now kwa coinghecko and...
Wakuu Salaam,
Napenda kuwashirikisha kwenye fursa hii ya korosho tena, Nilihamasika na kufuatilia kilimo cha korosho katika mikoa ya kanda ya kati, yaani Dodoma na Singida.
Sina data za uhakika lkn kwa taarifa zilizopo ardhi ya Singida na Dodoma zinafaa sana kulima korosho na yield yake ni...
CONTROLA, esa/mpesa na nyingine zote wanakata "withholding tax kabisa na kupeleka TRA kupitia Tin Number yako, sasa wewe potea tu lkn jua TRA watakusubiri tu mpaka utakapofika habari zako wanazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.