Kiwanja kinauzwa Mbezi Luis

Kiwanja kinauzwa Mbezi Luis

KiparaDar

Member
Joined
Mar 20, 2007
Posts
67
Reaction score
30
Wakuu habari

Nauza kiwanja changu kilichopo mbezi luis maeneo ya Mtaa wa muhimbili/Muungano
Kiwanja ni kizuri na kikubwa cha ujazo wa 7600sqm kinafaa kwa makazi na biashara
Kiwanja kiko karibu kabisa kutazama barabara ya mbezi luis-Goba, ni plot ya pili kutoka barabarani
Bei Tzs 300m na maongezi yapo.
Mimi ndio mwenyewe na hakuna dalali

Karibuni wadau
 
Eneo hilo pia ni maarufu wanaita kwa manoni kwa Jina jingine
 
Yah kina title mkuu nafikiri unachanganya na eneo jingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom