Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa Reuben Challe
Ni kweli kabisa lakini mimi nilienda ofisini wakanipa namba ya mhudumu ili niunganishiwe bure lakini mhudumu hakuwa tayari kunihudumia bure hivyo nikakutana na kijana mmoja anaye sajili laini akanihudumia kwa kulipia
Nilimtafuta msimamizi wa ujenzi Mimi nikasafiri kumbe msimamizi akaendelea na mambo yake wakati huo mawe yanasogezwa site, nikapigiwa simu na majirani kuwa mawe yanayoletwa ni machache, nilipo mpigia simu anayeleta akakubali kuwa ni kweli mawe yanayoletwa ni machache nikauliza ni kwa Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.