Recent content by kipachaibwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Nipo Tanga hapa Kile kifaa cha kubebea unapewa bure Ice cream unauziwa nusu bei
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Sawa lkn wyd sio bingwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa na bajeti halisi ya usajili wa Simba na Yanga?

    Ile ni bajeti ya msimu mzima
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Klabu ya Simba ya Daresalaam imefikia makubaliano ya kumsajili winga huyo kwa mkopo Ni uhakika
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka kogwa imembeba nini kwa mizania ya kiroho?

    Ndio nilishuhudia mwaka flani kwenye Tanzania safari channel Kile kibanda kikichomwa moto na mtu kutoka kasi Watu hushangilia Sana kuashiria mambo tayari
  6. K

    JamiiForums Tanzania Upekee tunaoutaka wana Simba SC ni kuwa Bingwa wa CAFCL na Super League siyo kuzindua Jezi Mlima Kilimanjaro

    Hili Jambo lipo kiroho mkuu Mi Simba damu na nimeona linamantiki
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yanga na mayele bado ngumu

    Kikao kilichofanyika juzi jumapili kati ya uongozi wa Yanga na usimamizi wa Mayele haukufikia muafaka Yanga wanadai hawataweza kuongeza ofa zaidi kwa Mayele na wamempa machaguo mawili wakala wake Wametoa siku 5 aidha akubali ofa ya mezani kusaini mkataba mpya Au auzwe nje ya chi kwa dola...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Napendeza Kamati ya Wataalamu kwenda kumuona Mo Dewji

    Gentamycine
  9. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga: Mkataba wa Bandari umetusaidia kuwajua Viongozi zaidi

    Mzee wangu Munga Mungu akubariki kwa ujumbe mzito Wiki ijayo tukionana ile njia ya mtoni ukifanya mazoezi ntakupa mkono
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliobebwa kwa mbeleko mwaka 2020 hali ni tete, Arusha mjini na Mbeya mjini kimeumana

    Mamiake [emoji16] acha litokee tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Kiongozi yupi wa upinzani alimpenda Jpm?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga itakuwa Klabu ya Tatu nchini kutumia VAR baada ya Simba SC na Simba Queens

    Baba mkubwa salama lkn[emoji16]
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki na garden

    0683505822
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki na garden

    Habari wadau najitokeza kwenu kuomba ajira Nipo Arusha mjini nina uzoefu wa kutengeneza garden na kutunza lkn pia nina uzoefu pia wa ufugaji samaki kuanzia uandaaji wa bwawa mpk kuweka samaki na pia najua kuchanganya chakula chake pia Kwahio ukinipa ajira yoyote halali basi hivyo vingine...
Back
Top Bottom