Ni Nyimbo ya nikk wa pili ft joh makin ila kiitikio ipo saut ya msanii wa bongo fleva kachngny kngerza n kiswahil manen nayo kumbka n (ME AND YOU)...tafadhal mwny kuifahamu naomb aniwke link au jina la nymbo
kila kitu kina muongozo,nA muongozo w binadamu n dini ukifuata dini vizur n maandiko vizur maisha yatakua n mazur n yaliyojaa upendo na amani kwan ndo muongozo ulio bora n mwnyz mungu alifaham fika kuwa binadamu asipokuwa n muongozo bas maisha yk yatakua pabaya kwak n viumbe vingen.Ktk maandko...
Bila shaka Elimu yko hijakukomboa kutoka kwenye ujinga we n mavi matupu kichwani..usifikir kila aliyefel n mwalimu..na hao unaodhan wameungaunga ndo wamekua walimu bora n wazuri..
Inabidi uanzie mbali kama ndo hivyo kuna maana gan ya kuchuja wanafunzi?..kwan huwezi kuniambia mtoto hajui kuandika jina lake wala kusoma alfu utegemee mwalimu wa sekondar ndo akamfundash vyte hvyo akat ilikua anatakiwa awe ameshfahamu kabla y kuingia sekondar.Nando hapo Ujiulze kapitajepitaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.