Upweke umenichosha

Upweke umenichosha

Ina maana kule kwa ma nyumbu wa ccm umekosa kipoozeo kabisa mpaka uje huku..... Fimbo ya mbali haiui nyoka.
 
Kwa kawaida ukishakuwa mwalimu tu unapoteza sifa zote za kuwa gentleman. Either uoe mialimu menzako or chukua mianamke miuza kashata na ubuyu ndo saiz zenu malofa nyie.

unatambua kama magufuli ni mwalimu, nyerere ni mwalimu na mwinyi ni mwalimu... bila kusahau ma first lady karibu wote ni walimu
 
wonders shall never end. Hivi hizi Auto search za wachumba zimewahi kuzaa matunda? Wembamba na urefu vinakusaidia nini katika maisha? Mnene anaweza kukonda na akawa mwembamba haswaa. Na urefu na ufupi ni mipango ya mola. so usiwajaji watu kwa mambo ambayo yapo juu ya uwezo wao. Utaibua koroma
 
Asante mkuu ubarikiwe
 
Mmmmh Nina dada ang anawatoto watatu na anatafuta MTU Kama wewe VP utakubali???😃😄😄
 
Kwa kawaida ukishakuwa mwalimu tu unapoteza sifa zote za kuwa gentleman. Either uoe mialimu menzako or chukua mianamke miuza kashata na ubuyu ndo saiz zenu malofa nyie.

Jaman kwann co mwanaume kwan ualim co kazi??heri kuwa mwalimu kuliko kuwa jambazi mkuu
 
nakutakia Kila la kheri katika utfutaji wako japo kipengele cha kuwa lazima awe amemalza 4m4 cjkielwa vle kwann umechgua hvy?
 
Yaani kuanzia kidato ya nne nakuendelea,nimeweka vile kwakuwa ndo utashi wa mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom