Unamaanisha Ridhiwani Kikwete na....any way tusitaje majina kwanza, unamaanisha Escrow, Twiga kapanda ndege, Uchaguzi 2015 pesa imetumika lakini kumbe mshindi alishachaguliwa, Mabehewa mabovu, Safari hewa za nje, Mishahara hewa Hazina, Ruzuku ya siri kwa CCM, Fungu moto la JWTZ na TISS...