Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,301
23,030
Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.

1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi

2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana

3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.

4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti

5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati

 

Attachments

  • 11.jpg
    11.jpg
    73.7 KB · Views: 2,892
  • 22.jpg
    22.jpg
    49.9 KB · Views: 2,216
Last edited by a moderator:
Wakishinda upinzani uchaguzi unakuwa batili ,wakishinda watawala uchaguzi automatically unakuwa huru na wa haki.
 
Seif ni zuzu. Yaani mwenyekiti wa ZEC kaweka mpaka vifungu yeye anaishia kutoa porojo. hahahaha pole seif, labda usingeungana na fisadi lowasa ungeweza kupona. Pamoja na kuwa Zanzibar kunauonevu sana kwa watu wa pemba, ila na wewe seif unachuki sana kuhusu mapinduzi ndiyo maana hutakaa kuwa rais wa Zanzibar ktk maisha yako, kwani wenzako mapinduzi wanayaenzi wewe unabeza kana kwamba unataka kurudisha usultan.
 
Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA autangazie umma ili tumsaidie mapambano na washenzi wanaoitwa CCM ili tuikomboe nchi yetu. Haki haipatikane ila kwa ncha ya upanga
 
Back
Top Bottom