Recent content by Kiokotee

  1. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

    Naona umeamua kuongeza Sauti...Hongera zao.
  2. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kuacha kazi na kujiajiri. Tupatieni fao la kujitoa

    We na nani?? Hao wanajiita wapinzani wanakula Asali huko ndio wanitetee mimi...Kila mtu apiganie tumbo lake nw.
  3. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Hatujawahi kutumia kinga wala yeye hatumii, ila hashiki ujauzito. Shida itakuwa nini?

    Sijaelewa ulivyoandika huwa mnafanya nn muda wowote,saa yeyote kila mkipata muda katika mwezi..
  4. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Hatujawahi kutumia kinga wala yeye hatumii, ila hashiki ujauzito. Shida itakuwa nini?

    Huwa mnafanya nn muda wote??
  5. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    Hatuwezi fanya Huo Ujinga!! Ni wasaliti pekee wanaweza...
  6. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Mbona Kuna nguvu kubwa sana inatumika?

    Wametumwa tuache Ajira wachukue wao!! Wanataka tukale wapi sijui...Mimi siachii Ajira yangu!!!!
  7. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wote wenye mafanikio makubwa wameoa, Chunguza

    Wawili ni Wawili Tuuu!!
  8. Kiokotee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

    Mimi Siku hizi nawaogopa kweli Sijui kwa nn??
  9. Kiokotee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa single mother kwa malezi aliyokua akimpa mwanae

    Bora Kuharisha kituoni Kuliko safarini..
  10. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Jumbe makini kumi na moja(11) za mkumbushe mwanao ninazo zikubali

    Mkumbushe mwanao; Asome ili Aelimike sio Apate Ajira. Anachosoma saa hizi Hatokitumia popote katika Ajira yake. Asijifananishe na Pisi kali Kuanziq Darasani mpaka Kwenye Ajira yake. Pia Umkumbushe,Tupo mil.40 kati ya hao kuna Mil.10 wanatafuta Ajira ambazo yeye Ndio Kwanza anaanza kusomea.
  11. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Jumbe makini kumi na moja(11) za mkumbushe mwanao ninazo zikubali

    Mkumbushe mwanao; Kuna mapenzi Mahusiano Na Maisha.. Havijawahi kuchanganyika tangu Dunia Inaumbwa.
  12. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

    Naona umeorodhesha wote kumbe sisi Wamachinga upeo wetu ni mkubwa kidogo,Ahsante.
  13. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Kwa hiyo Achukue hizo 23% zake Au sio,Ila huo mfumuko ubaki hapohapo!! Mbona km na wewe unacheza na Akili za Watu hapa?? Au kwa vile mimi mmachinga sijakuelewa..
  14. Kiokotee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EX wangu aliniacha na kukimbilia kwa jamaa kisa jamaa ana pesa nyingi. Mimi ndiyo nilimtoa Kijijini

    We kama hutaki kutafuta hela,Endelea kutuletea pisi kutoka kijijini...Maana unaonekana unajua kukuza vipaji.
  15. Kiokotee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

    Hongera mke Mwema!!
Back
Top Bottom