Recent content by Kinywele1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Economic ideas

    Congrat, Many will be cured by...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Jaman naomba kama kuna mwenye orodha ya waliochaguliwa kujiung na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA atuowekee hapa, Ombi itoe kwenye PDF ili tuweze kuifungua,
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliokidhi vigezo vya uhamisho

    Kama kuna mwenye taarifa kuhusiana na uhamisho huo atusaidie ku-attach hapa, Ombi itoe kwenye PDF.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliokidhi vigezo vya uhamisho

    Tafadhali kama kuna mwenye taarifa hiyo naomba atusaidie ku-attach hapa, ombi itoe kwenye PDF.
  5. K

    JamiiForums Tanzania CHAMA CHA WALIMU (CWT) badi ina uhai?

    Yawezekana wewe sio mwalimu, ndo ninyi mlioandaliwa kubomoa chama.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba kujiunga na vyuo vikuu kupitia CAS mwaka wa masomo 2013/2014

    Naomba mnisaidie kutambua Category niliyopo kwenye CAS, Nina qualification zifuatazo; >form IV-point 25 (NECTA-2007), >Grade IIIA teacher cert. (primary teacher) GPA 2.9 (NECTA-2010) na >Cert. in foundation course (offered by Open University of TZ).
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    Rekebisha kauli yako, maana hao hao unaowaita failure ndo waliokuwezesha hadi ukafika ulipo!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Unaona nini hapa??

    naona sura ya 'kibaka'
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jamani hawa wanakera

    Mara nyingi wanakuwa wengi sehemu moja, hivyo kila mmoja anajitaid kuongeza sauti ili asikike. Ila kiujumla inakera...!!
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu hiki tafsiri yake ni nini??

    Pole sana kwa hayo yalokukuta, nakushauri uachane naye hakufai kabisaaaa,
  11. K

    JamiiForums Tanzania Udaili wa elimu ya juu mwaka 2013/2014

    Nakusubiri
  12. K

    JamiiForums Tanzania Udaili wa elimu ya juu mwaka 2013/2014

    Asante, nimerekebisha.
Back
Top Bottom