Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kinywele1, Jul 31, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  Kinywele1 Member

  #1
  Jul 31, 2013
  Joined: Feb 25, 2013
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Jaman naomba kama kuna mwenye orodha ya waliochaguliwa kujiung na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA atuowekee hapa, Ombi itoe kwenye PDF ili tuweze kuifungua,
   
 2. R

  Rejonta Member

  #2
  Jul 31, 2013
  Joined: Jun 1, 2013
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nenda kwenye web yaa kaangalia mbona majina yapo
   
 3. S

  SAMANGWANA New Member

  #3
  Jul 31, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  web ipi mbona hayafunguki?
   
 4. M

  Maige Maro Member

  #4
  Aug 1, 2013
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye post hizo si aweke
   
 5. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2013
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 522
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Asante mungu nimechaguliwa nachingwea,jamani matokeo ninayo ila nashindwa kuyatoa kwenye pdf kama hamtojali nipost hivyo hivyo au taja jina nikuangalizie!
   
 6. Soso J

  Soso J JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2013
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 1,628
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280
  Hongera saana ndugu,kasome kwa bidii
   
 7. K

  Kinywele1 Member

  #7
  Aug 3, 2013
  Joined: Feb 25, 2013
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hongera sana ndg
   
 8. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2013
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 522
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  asante kinywele
   
 9. s

  shekulumkende Member

  #9
  Aug 28, 2013
  Joined: Aug 6, 2013
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kukujulisha hilo jina halipo kwa maana hiyo utakuwa hujachaguliwa au jaribu kuvuta subira second selection hata hivyo muda wa kuripoti ilishapita tangu tar 25 mwezi huu
   
 10. v

  vickboy.com Member

  #10
  Jul 12, 2014
  Joined: Jul 29, 2013
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado, wametoa waliochaguliwa kujiunga na mafunzo maalum diploma,
   
 11. e

  enoswilliam Member

  #11
  Aug 2, 2014
  Joined: Apr 12, 2014
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni msaada wenu je majina ya waliochaguliwa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada yameshatoka na kama bado yanaweza toka ln? Msaada wenu tafadhali...
   
 12. C

  Chizy Za kitaa Senior Member

  #12
  Aug 2, 2014
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado na haielewek ln yanatoka
   
 13. r

  rizright Member

  #13
  Aug 2, 2014
  Joined: Jul 13, 2014
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utakaa xana..mdogo wang mwenyewe kaixha enda xhambaaa analima xo jipange?wk kexho labda
   
 14. Honey Faith

  Honey Faith JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2014
  Joined: Aug 21, 2013
  Messages: 15,860
  Likes Received: 5,597
  Trophy Points: 280
  Huu uandishi wako unapendezea kwa watu mliozoeana na mnajua hiyo lugha yenu ila hapa unatakiwa uandike vizuri ili ueleweke
   
 15. e

  enoswilliam Member

  #15
  Aug 3, 2014
  Joined: Apr 12, 2014
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hyo inachosha
   
 16. e

  enoswilliam Member

  #16
  Aug 3, 2014
  Joined: Apr 12, 2014
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna misemo ngoja tujaribu kusubiri
   
 17. j

  jumaa kijazi New Member

  #17
  Aug 3, 2014
  Joined: Aug 2, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi pia ni mmoja wa waombaji, mm bado sjapata taarifa mpaka mda huu ila ukipata taarifa kuhusu waliochaguliwa ualimu stashahada 2014/2015 nijulishe.
   
 18. A

  ANTELMI MGONELA Member

  #18
  Aug 4, 2014
  Joined: Aug 1, 2014
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndio elimu ya tanzania bwana, kuwa mvumilivu mpaka watakapo amua wenyewe
   
 19. l

  ligera JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2014
  Joined: May 17, 2014
  Messages: 2,566
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tujulishane mkuu yakitoka hapa jamvini petu
   
 20. e

  enoswilliam Member

  #20
  Aug 6, 2014
  Joined: Apr 12, 2014
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa cha muhimu tujulishane
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...