Habarini wadau .Kama mnavyo fahamu katika harakati za maisha kuna watu wana idea za biashara na kuna watu wana pesa.Hivyo napenda kualika wote wenye mawazo ya kibiashara chini ya million tano njoo na idea yako dm then tu discuss .Note usije na idea za kitapel au kubeti na wale ambao idea zao...
Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano.
Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi...
mimi wakati naripoti 4m five nilikutana na the same issue but ki ukweli maisha haya ni kuomba sana wakati unapambana .Unaweza kuwa best darasani but ukaja kupata kazi ya kawaida sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.