bado unasafari nzito. nyumba kueka bati ikiwa na madirisha wazi na milango hapo kasheshe itaanzia hapo, wakuu nashindwa hata kupaka madirisha rangi nyeusi bado ina ile ya kwanza. ivi niikiiacha vile vile kuna matatizo?
watu tunaposhauriana kuhamia hatuambiani kwamba tutafute mafundi wa aina...
uchumi wa kati maana yake kila kitu kinakwenda kwa kasi ya dunia, kwa hiyo bado kila mmj wetu atatakiwa afanye kazo kwa bidii sana.
mtz ahakikishe anapata riziki zake lkn wkt huo huo huo dereva wa nchi (Rais) anatupeleka vizuri. tukifika uchumi wa juu maana yake pesa na vitu vyetu nchini kwa...
Habari wana jamvi,
Wananchi wanateseka sana, wanasononeshwa na matatizo mengi hasa Maji na Barabara alisikika mwananchi akisema
"Huyu aliye itenda hii kanga yetu alikuwa kidume haswaa kiukweli kama tunaishi tumetengwa hatuna baba wala mama jambo la kimaendeleo likianza tu muda mchache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.