Recent content by Kinyamnyaga

  1. K

    Polisi ni wa ajabu hadi wanasahau kutumia akili; unamkamata Mbowe kuwa anapanga kuua viongozi, halafu ndio unaenda nyumbani kwake kutafuta ushahidi?

    Nahisi polisi wanaomba siku moja itokee ugaidi hapa nchini; au itokee shambulio kwa viongozi wetu.
  2. K

    Wanasiasa wa Tanzania msipende na kufurahia mno Ushindi wa 100% katika Chaguzi zenu kwani mnadumazwa Kifikra na Wapiga Kura Wanafiki

    Hili suala la kupata 100% kwenye chaguzi linakera sana kwa mtu yeyete mwenye fikra pevu. Mbaya zaidi ni kuwa hata yule mgombea huwa anajua kuwa wapiga kura wake 'wamebanwa'ili ipatikane hiyo asilimia. Na isipopatikana kwente sanduku inatengenezwa mezani.
  3. K

    Nape Nnauye: Maamuzi ya CHADEMA kuwafukuza Uanachama Wabunge wake 19 (COVID-19) yaheshimiwe, hawatakiwi kuwepo Bungeni

    Paschal Mayalla sikubaliani na wewe. CCM inatumia dola kuukandamiza upinzani. Na wewe unalijua hilo. Chadema watafanyaje due diligence ktk mazingira ambayo Polisi, Takukuru, Tume ya Uchaguzi, hawawezi kuwasikiliza wala kuwasaidia. Mbona CCM ikifukuza wabunge wake huwa huleti habari za due...
  4. K

    House4Sale Ninauza nyumba ipo Musoma Kamunyonge- Biafra

    Nyumba hii ni mojawapo ya nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mwaka 1968. Ni nyumba ya mjengo wa kizamani. Ina nyumba vitano vya kulala na korido katikati. Uani kuna choo 2, bafu, stoo ndogo na jiko. Kwa atakae inunua anaweza kurekebisha mpangilio wa vyumba na kuezeka upya...
  5. K

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Mayala bwana!! Ukada unakufanya unakuwa kipofu kabisa!! Katika kipindi hiki cha 2020-2025 usipoupata ubunge wa zile nafasi 10 basi utapata teuzi ya RC, DC, au balozi. Kama lengo lako ni kuwinda uteuzi nakuelewa. Ila kama lengo lako ni kutupa habari, nakupongeza pia.
  6. K

    Maoni ya mdau juu ya hotuba ya Rais. Tumewadharau wataalamu wa Afya, Rais anatoa ushauri wa kisiasa

    Baada ya hotuba ile, wazo kuu moja lilikaa kichwani. 'sasa tusitarajie kupata updates za mara kwa mara za takwimu za ugonjwa huu' Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Duu! Kwa agizo hili la sala, tusitarajie kupata updates za wagonjwa au vifo vitokanavyo na covid 19. Hata kama takwimu zitaongezeka hazitatangazwa kwa kuhofia agizo la sala la mh. Rais. Nb: Mwalimu Nyerere pia alikuwa mkatoliki. Wakati wa vita vya Idd Amin sikumbuki kama, katika hotuba zake...
  8. K

    CUF yaitaka Serikali kufuta waraka namba 4 wa Elimu kwa Mwaka 2020 kwa kuwa una hasara nyingi kuliko faida

    Tupia hapa waraka huo tuusome kabla ya kutoa maoni yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Ningelikuwa Waziri wa Elimu wa Serikali ya awamu ya tano ningelifanya haya

    Umesahau kitu kimoja muhimu sana. Kwa Africa na hasa kwa Tanzania ya leo waziri hatekelezi maono yake, bali huelekezwa na Rais mambo muhimu ya kufanya kwa mujibu wa MATAKWA ya Rais na ilani ya uchaguzi. Hivyo usiseme ningekuwa waziri wa elimu; labda useme ningekuwa Rais. Ukuwa rais unaweza...
  10. K

    Meya wa jiji la Dar, Isaya Mwita ashindwa kuingia ofisini kwake baada ya kubadilishiwa nywila ya mlango

    Ninamshauri huyu meya atulie tu; yaishe. Akizidisha mapambano atafungunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Ninashauri chama chake kione hatari iliyopo mbeleni kwa meya wao kukaa mahabusu kwa muda mrefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    CHADEMA wagomea uchaguzi wa Naibu meya manispaa ya Iringa, msimamizi avunja mkutano

    Kwani katika uchaguzi wa meya; kuna ubaya gani mwana ccm kumpigia kura mgombea wa Chadema? Pia hakuna ubaya mwana chadema kumpa kura mgombea wa ccm. Hiyo ndio democrasia tunayoitaka. Kama mpiga kura anaona mgombea wa chama chake hawezi jukumu la umeya, ana uhuru wa kumpa kura mgombea wa chama...
  12. K

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Mimi nilianzisha hiyo bucha ya samaki hai. Wateja / watu wakifika wanaanza kukuuliza maswali juu ya samaki hao: chakula, dawa, matunzo etc na kuendelea kushangaa shangaa halafu wanatoka; wanaenda sokoni kununua samaki mfu. Ya kwangu ilikuwa kama banda la maonesho. Nakushauri uanzishe ili uone...
Back
Top Bottom